Posted by On the spot Tz
8:29:00 AM
0
Afisa mmoja wa Burundi amesema kuwa wanachama wanne wa chama tawala cha nchi hiyo wameuawa kwenye shambulio katika ghasia zinazoendelea kuhusiana na kurefushwa muhula wa kusalia madarakani Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo.Jerome Ntakarutimana Mkuu wa wilaya ya Mugamba mkoani Buriri amsema kuwa shambulio hilo lilifanywa kwa wafuasi wa chama tawala cha Burundi ambao walikuwa wamekusanyika kwa ajili ya shughuli ya kusafisha mazingira. Mtu mwingine aliyenusrika na shambulio hilo amesema kuwa wanachama hao wanne waliaga dunia baada ya watu wenye silaha waliovalia sare za jeshi kushambulia baa moja juzi Jumamosi na kufyatua risasi. Shambulio hilo limeifanya idadi ya watu waliouliwa Burundi tangu wiki iliyopita kufikia kumi.
Hatua ya Nkurunziza ya kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu imesababisha machafuko ya kisiasa Burundi ambapo hadi sasa raia wa nchi hiyo zaidi ya 400 wameuawa
Tagged with:
KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. »
Previous
This is the last post.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za b...



No comments: