Posted by On the spot Tz
1:34:00 PM
0
Abiria wa mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es salaam leo June 20 2016 wameanza kutumia kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi. Mfumo huu ambao utamuwezesha abiria kuweka fedha katika kadi hio kwa kutumia mitandao ya simu na utasaidia kupunguza msongamao katika vituo vya ukataji tiketi.
HAYA NI MAMBO MATANO YA KUFAHAMU
1.Unapokwenda kununua kadi utapewa maelekezo ya namna ya kujisajili, kuna namba ya *152*22# ukipiga namba itakupa maelekezo, utachagua kwenye menu litatokea neno DART itakupa maelekezo kama unajisajili utatakiwa kujaza namba ya kadi, utajaza majina yako na utaweka namba yako ya siri.
2.Ukipoteza kadi hatua ya kwanza unaweza kuifunga isitumike na mtu mwingine kwa kubonyeza *152*22# unachagua DART itakuja option ya kuifunga.
3.Kadi ikinunuliwa tayari ina muda wa kusafiri, kwamba hutalazimika kufanya Top up baada ya kuinunua, kadi utainunua 500 lakini utakuwa na muda wa kusafiri wa sh 4500, baada ya kuwa umeshainunua unaweza kusafiri muda huohuo.
4.Ukipoteza kadi na ukitaka kupata mpya, kama iliyopotea ina muda wako wa kusafiri taarifa zako zitasaidia kupata kadi mpya na utarudisha pia salio lako ambalo litakuwa limebaki.
5.Wanafunzi wataendelea kutumia tiketi kwa sababu mfumo wa tiketi pia bado utatumika sanjari na matumizi ya kadi, usajili wa mwanafunzi ili wapate kadi zao utachukua muda.
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
HABARI KITAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Picha za Zari Hassan Akijiachia Kuonyesha Ujauzito Wake,,,,,,,,,,Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenz...
No comments: