Posted by On the spot Tz
1:30:00 PM
0
Mshambuliaji matata kutoka Argentina Lionel Messi hatimaye alifunga bao lake la 500 katika maisha yake ya uchezaji Jumapili.
Alifunga bao hilo dakika ya 63.
Hata hivyo halikutosha kuzuia Barcelona wasipokezwe kichapo chao cha tatu mfululizo katika La Liga, mara ya kwanza tangu 2003.Barca walichapwa 2-1 na Valencia.
Ni karibu miaka 11 tangu Messi afunge bao lake la kwanza la ushindani akiwa na umri wa miaka 17.
Bao hilo lilikuwa dhidi ya klabu ya Albacete mwezi Mei 2005.
"Idadi hiyo ya mabao ni kama inatoka sayari nyingine,” mkufunzi wa Barca Luis Enrique alisema kuhusu ufanisi huo.
Hapa, tunaangalia jinsi mshambuliaji huyo wa Argentina alivyofungia taifa na klabu mabao hayo:
Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Picha za Zari Hassan Akijiachia Kuonyesha Ujauzito Wake,,,,,,,,,,Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenz...
No comments: