Posted by On the spot Tz
9:35:00 PM
0
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye alikuwa anichezea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, amegoma kuweka wazi kama atajiunga kweli na klabu ya Man United kama inavyoripotiwa au la, Zlatan amejibu hivyo baada ya kuulizwa swali wakati wa uzinduzi wa Clothing line yake.
Wengi walikuwa wanasubiri kwa hamu kuwa staa huyo Jumanne ya June 7 2016 atatangaza klabu gani atajiunga nayo, hiyo inatokana na Jumatatu ya June 6 kutangaza kuwa watu wakae tayari kwani Jumanne atatangaza jambo kubwa na muhimu.
Zlatan hakutangaza kama wengi walivyotarajia kuwa hiyo ndio itakuwa siku atakayotangaza kujiunga na Man United, haikuwa hivyo kwani alitangaza kuzindua brand yake ya mavazi ya A-Z, wakati wa uzinduzi huo aliulizwa kuhusu timu gani atajiunga nayo.
“Kwa sasa malengo yangu ni A-Z na haijathibitika nitajiunga klabu gani, napenda hizi stori ziendelee ili siku nikichoka nitawaambia najiunga na klabu gani, ila kwa sasa kuwa mvumilivu siwezi kusema ndio au hapana kuhusu mpango wa Man United ila malengo yangu ni A-Z, kwani hata nikiwa Man United nitavaa nguo za A-Z.
Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Picha za Zari Hassan Akijiachia Kuonyesha Ujauzito Wake,,,,,,,,,,Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenz...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: